Sheria na Masharti ya Ziada ya Studio ya Bidhaa

Ili utumie Studio ya Bidhaa (“ Studio ya Bidhaa ”), ni sharti ukubali:

  1. Sheria na Masharti ya Google
  2. Sheria na Masharti haya ya Ziada ya Studio ya Bidhaa

Tafadhali soma kwa umakini kila mojawapo ya hati hizi. Kwa pamoja, hati hizi zinajulikana kama “ Sheria na Masharti. ” Zinabainisha kile unachoweza kutarajia kutoka kwetu na tunachotarajia kutoka kwako unapotumia huduma zetu.

Tunakuhimiza pia usome Sera yetu ya Faragha .

Sera ya Faragha itakuruhusu kuelewa vyema jinsi unavyoweza kusasisha, kudhibiti, kuhamisha na kufuta taarifa zako .

Tabia zisizokubalika . Kando na masharti yaliyo katika sehemu ya "Kuheshimu Wengine" kwenye Sheria na Masharti ya Google , sharti utii Sera zetu za Matumizi Yasiyokubalika ya AI Zalishi na ukubali kutofanya yafuatayo:

  • (a) kuruhusu mtu mwingine yeyote, ikijumuisha mteja wako yeyote afikie Studio ya Bidhaa; au
  • (b) kuwasilisha maudhui, vidokezo au data nyingine yoyote ambayo:
    • (i) inajumuisha taarifa zozote binafsi au nyeti (kwa mfano: majina, namba za simu, anwani, anwani za barua pepe au tarehe za kuzaliwa);
    • (ii) inazalisha picha zinazofanana na hali halisi zenye damu au vurugu iliyokithiri, kuiga mtindo wa kisanii wa mshirika mwingine, kuzalisha chapa za biashara za wengine au maudhui yaliyo na hakimiliki (kwa mfano: nembo, bidhaa, au wahusika), au yanakiuka vinginevyo haki zozote za uvumbuzi za washirika wengine.

Product Studio Additional Terms of Service

To use Product Studio ( "Product Studio" ), you must accept:

  1. Google Terms of Service
  2. These Product Studio Additional Terms of Service

Please read each of these documents carefully. Together, these documents are known as the "Terms." They establish what you can expect from us as you use our services , and what we expect from you.

We also encourage you to read our Privacy Policy .

The Privacy Policy will allow you to better understand how you can update, manage, export, and delete your information .

Prohibited conduct. In addition to the "Respect others" section in the Google Terms of Service , you must comply with our Generative AI Prohibited Use Policy and agree not to:

  • (a) share access to Product Studio with any third party including any of your customers; or
  • (b) submit any content, prompts, or other input that:
    • (i) includes any personal or sensitive information (for example: names, phone numbers, addresses, emails, or birth dates);
    • (ii) generates images that contain gratuitous realistic violence or gore, copy the artistic style of a third party, generate third-party trademarks or copyrighted content (for example: logos, products, or characters), or otherwise infringe upon any third-party intellectual property rights.
Create a Mobile Website
View Site in Mobile | Classic
Share by: